
Wanandoa watofautishe kupendana na kutaka
Kila mtu humpenda mwingine. Vivyo hivyo, anaweza kumtaka au kutakiwa na mwingine. Hakuna asiyejua kupenda ingawa si wote wanaopenda ifaavyo na inavyotakiwa. Muhimu ni kujua kupenda na kutaka ni vitu viwili tofauti. Mfano, unaweza kumpenda mtu kiasi cha kujisikia vibaya usipomuona. Pia, unaweza kumtaka mtu ukadhani unampenda. Hata hivyo, kupenda kwa namna hii kunaweza kuwa…