MHE. FESTO SANGA AUNGANA NA JKTL KULETEA TABASAMU WAHANGA WA MAFURIKO BURUNDI KATIKA CRDB BANK MARATHON 2024 – MWANAHARAKATI MZALENDO

Mbunge wa Makete na Mwenyekiti wa Bunge Marathon, Mhe. Festo Sanga, ameonyesha mshikamano wa hali ya juu kwa kuungana na Wanajeshi wa Kusambaza Tabasamu (JLKT) katika CRDB Bank Marathon 2024 iliyofanyika nchini Burundi. Mhe. Sanga alishiriki katika mbio hizo kwa lengo la kuchangia misaada kwa wahanga wa mafuriko ya Ziwa Tanganyika, hususani katika mkoa wa…

Read More

WAZIRI JAFO AWASILISHA BAJETI YA MWAKA 2024/25

Ofisi ya Makamu wa Rais inaandaa Mfumo wa Kieletroniki wa Uratibu wa Taarifa za Masuala ya Muungano na yasiyo ya Muungano. Pia, inaanzisha Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (MAKAVAZI) ili kuwa na mfumo endelevu wa kuhifadhi kumbukumbu na nyaraka za mambo ya Muungano ili kuongeza uelewa wa masuala ya…

Read More

Mabadiliko biashara ya kahawa nchini yaja

Mbinga. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema mfumo wa biashara ya kahawa nchini utafanyiwa mabadiliko makubwa yanayolenga kuwanufaisha wakulima, badala ya mfumo wa sasa aliouita wa unyonyaji unaowaongezea umaskini wakulima wa zao hilo. Alibainisha kuwa biashara isiyo rasmi ya kahawa, maarufu kama Magoma ni haramu na kuielekeza mamlaka wilayani Mbinga kukamata na kuitaifisha kahawa yote…

Read More

JERRY SILAA ACHUKUA FOMU UBUNGE UKONGA

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jerry Silaa, amechukua na kisha kurejesha fomu baada ya kuijaza ya kuomba ridhaa ya Chama kuwania ubunge katika Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam. Silaa, alichukua na kurejesha fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Ilala ambapo alikabidhiwa na Katibu wa Chama wa wilaya hiyo Sylivester Yared,…

Read More

CAF yampa mzuka Ouma Singida Black Stars

KOCHA wa Singida Black Stars raia wa Kenya, David Ouma amesema kitendo cha kupata tiketi ya kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao, kwao kama benchi la ufundi, viongozi na mashabiki ni jambo kubwa la kujivunia. Timu hiyo imepata tiketi ya kushiriki michuano hiyo msimu ujao baada ya Yanga kuifunga JKT Tanzania mabao…

Read More

DK. MWINYI AAHIDI KUENDELEZA MATAMASHA YA ASILI ILI KUONGEZA IDADI YA WATALII – MWANAHARAKATI MZALENDO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuyaimarisha matamasha yaliyopo ikiwemo Mwaka Kogwa na kubuni matamasha mengine mapya kwa lengo la kuongeza vivutio vya utalii nchini. Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo leo wakati wa akihutubia maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika Tamasha la Mwaka Kogwa ambalo linafanyika…

Read More