
Waendesha kampeni Lissu apate gari jipya
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kukabidhiwa gari lake lililokuwa limehifadhiwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Mkoa wa Dodoma, baadhi ya watu, wakiwamo makada wa chama hicho, wameanzisha mchango kwa ajili ya kumnunulia gari jipya. Lissu alikwenda kituoni hapo juzi kuchukua gari hilo ikiwa imepita miaka saba…