Je, ni nani Washindi wa Mwisho katika Mapigano ya Kijeshi yanayoendelea Ulimwenguni? – Masuala ya Ulimwenguni

Mkopo: Kumbukumbu za Kitaifa za Marekani na Thalif Deen (umoja wa mataifa) Jumatatu, Desemba 02, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Des 02 (IPS) – Iwapo na wakati migogoro mikali ya kijeshi nchini Ukraine na Gaza itamalizika, washindi wa mwisho hawatakuwa Warusi, Wamarekani au Waisraeli bali watengenezaji silaha duniani—kwa dharau wakielezewa kama “wafanyabiashara. ya…

Read More

Teleza na ODDS za kibabe na Meridianbet leo

  Baada ya jana kushuhudia mechi kibao zikipigwa, halikadhalika na leo ni kama kawaida kuna mitanange ya kukata na shoka. Tengeneza jamvi lako sasa na Meridianbet. EPL leo kuna balaa mbili kwenye viwanja viwili tofauti, pale Tottenham Hotspur kutakuwa na mbungi kali kati ya Spurs vs Aston Villa ambao wanafukuzia nafasi 4 za juu. Ange…

Read More

Rais Kagame azungumza kwa mara ya kwanza baada ya kuchaguliwa

Kigali. Rais mteule wa Rwanda, Paul Kagame amechaguliwa tena kuongoza Taifa hilo huku akiwashukuru wananchi wa Rwanda kwa kumwamini tena kwa kumchagua. Katika uchaguzi huo uliofanyika Julai 15, 2024, Kagame aliyegombea kupitia chama tawala cha RPF, amepata jumla kura 7,099,810 kati ya kura zote milioni 9,071,157, ushindi huo ni sawa na asilimia 99.15. Amefuatiwa na…

Read More

Waliostaafu Soko la Kariakoo kulipwa Sh306 milioni

Dar es Salaam. Jumla ya Sh306 milioni zinatarajiwa kulipwa na Shirika la Masoko Kariakoo  kwa madeni ya waliokuwa watumishi wa Soko la Kariakoo. Taarifa hiyo imetolewa leo Ijumaa Aprili 18, 2025 na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo, Hawa Ghasia wakati wa kikao cha Kumi cha Bodi hiyo kilichoketi jijini…

Read More

Wanahabari waeleza changamoto za tasnia, mradi wa kuwajengea uwezo ukizinduliwa

Dar es Salaam. Wanahabari wameeleza changamoto zinazoikabili tasnia hiyo katikati ya ulimwengu wa teknolojia na akili mnemba. Wamesema ukuaji wa teknolojia umesababisha uwepo wa habari nyingi feki, jambo ambalo linahitaji sapoti ili kukabiliana na changamoto hiyo ili kutoiweka jamii njia panda. Wakizungumza wakati wa uzinduzi wa programu maalumu ya kuwajengea uwezo wanahabari ili kuepuka kuingia…

Read More

PINDA ATAKA HAKI MCHAKATO WA WAGOMBEA

Na Oscar Assenga,TANGA WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Mizengo Pinda amehimiza viongozi waliopewa dhamana ya mamlaka ya kusimamia mchakato wa uteuzi wa wagombea kuhakikisha wanatenda haki kwa wale wote waliojitokeza kwenye kinyang’anyiro hicho . Pinda aliyasema hayo leo mara baada ya kutembelea ukarabati wa ofisi ya…

Read More