Hijra ya Mtume tukio muhimu la Uislam-2

Makala iliyopita iliangazia historia kabla ya Hijra, mkakati wa Hijra, sababu za Mtume kuhama kutoka Makka kwenda Madina, matokeo ya kisiasa na ya kijamii katika Hijra, na tathmini ya wasomi wa kimagharibi kuhusu Hijra. Makala hii ni mwendelezo wa makala iliyopita… sasa endelea. Hijra ya Mtume (S.A.W) haikuwa tu kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine,…

Read More

HALMASHAURI YA MOSHI YATANGAZA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA..

NA WILLIUM PAUL, MOSHI. MSIMAMIZI wa Uchaguzi katika halmashauri ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Shadrack Mhagama amevitangaza vijiji 157 na Vitongoji 699 katika halmashauri hiyo kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27 mwaka huu. Mhagama ambaye pia ni Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo aliyasema hayo katika kikao chake na Watendaji wa Kata, Vijiji na…

Read More

RSF yashambulia Kambi ya Wakimbizi Sudan

Khartoum. Kundi la wanamgambo wa Jeshi la Msaada wa Haraka (RSF) limeongeza mashambulizi katika Kambi ya Wakimbizi ya Zamzam karibu na El-Fasher, Mji Mkuu wa Darfur Kaskazini, ambayo inakabiliwa na njaa. Hatua hiyo inadaiwa kuwa sehemu ya juhudi za kundi hilo kuimarisha udhibiti wake eneo la Darfur, ambalo kihistoria limekuwa ngome yake ya kijadi. Mapigano…

Read More

Ushauri kwa Mbowe akisubiriwa kutoa uamuzi kutetea uenyekiti Chadema

Arusha. Wakati kesho Desemba 21, 2024 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akitarajiwa kutegua kitendawili cha kutetea nafasi hiyo au la, viongozi waandamizi wa zamani wa chama wanashauri ajiweke kando. Wanashauri Mbowe kutumia busara kwa kusikiliza ushauri wa familia yake, iliyomtaka apumzike uongozi. “Nimekuwa na wakati mgumu na familia yangu. Hakuna kipindi familia yangu imenikalia mguu…

Read More

UN inaonya juu ya kuongezeka kwa ushuru wa wanadamu huko Ukraine huku kukiwa na mashambulio ya angani isiyokamilika, upungufu wa misaada – maswala ya ulimwengu

“Hakuna mahali salama huko Ukraine,” Miroslav Jenča, Katibu Mkuu wa Uropa katika Idara ya Masuala ya Siasa ya UN (UNDPPA). Inataja takwimu kutoka Ofisi ya Haki za Binadamu ya UN, Ohchralisema majeruhi wa raia walifikia miaka tatu mnamo Juni, na raia 6,754 waliuawa au kujeruhiwa katika nusu ya kwanza ya 2025 pekee. Vikosi vya Urusi…

Read More

Mount Uluguru Rally yawaita madereva Morogoro

MADEREVA wa mbio za magari watakuwa mkoani Morogoro wiki ya Pasaka kushiriki mashindano wa mbio fupi zitakazobeba bango la Mount Uluguru Rally Sprint. Mashindano haya yanatarajiwa kushirikisha madereva kutoka Dar es Salaam, Tanga, Arusha na Iringa na yatachezwa tarehe 21 mwezi Aprili mwaka huu kwa mujbu wa Mwenyekiti wa Chama Cha Mbio za Magari cha…

Read More