
Coastal, Azam nusu fainali ya kibabe FA
KESHO mchezo wa nusu fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho utachezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza kati ya Coastal Union dhidi ya Azam FC, huku vita kubwa ikiwa ni kusaka nafasi ya kucheza Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao. Azam FC inakamata nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 60…