
VIKUNDI VYATAKIWA KUJISAJILI VIWEZE KUTAMBULIKA
Afisa Msimamizi Mkuu wa Fedha, kutoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bw. Salim Khalfan Kimaro, akiteta jambo na Wakazi wa Wilaya ya Nachingwea Bi. Zaituni Salum (kushoto) na Bi. Husna Makong’o, baada ya kumalizika kwa semina ya utoaji elimu ya fedha wilayani humo mkoani Lindi ambapo mada mbalimbali zilifundishwa ikiwemo…