RC MALIMA, MOROGORO KUWA KITOVU CHA UTALII

Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima amewataka wanahabari kuwa mabalozi wa utalii, kuandika taarifa zinazowavutia watalii kutoka nje na ndani ya nchi. RC Malima ameyasema hayo wakati akifungua Mafunzo kwa wanahabari yaliyoandaliwa na Chama Cha Waandishi wa habari Tanzania (TAMPA) kwa kushirikiana na TANAPA ambapo amesema Mkoa wa Morogoro unahifadhi Tatu Kubwa ambazo ni Mikumi,Udzungwa…

Read More

MAMA MARIAM MWINYI AKUTANA NA MKE WA RAIS WA FINLAND

Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mama Mariam Mwinyi, ameihakikishia Finland kuwa Zanzibar iko tayari kushirikiana nayo katika kuhakikisha malengo ya kuwakomboa wanawake na watoto dhidi ya vitendo vya udhalilishaji, ukatili wa kijinsia na umasikini yanafikiwa. Mama Mariam ameyasema hayo alipokutana…

Read More

MAJALIWA ASHIRIKI KIKAO CHA BUNGE

     ***** Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameshiriki Kikao cha Tatu cha Mkutano wa kumi na Tisa wa Bunge Leo Alhamisi Aprili 10, 2025.  Wabunge mbalimbali wameendelea kuchangia hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge kwa Mwaka 2025-2026, baada ya kuwasilishwa na Waziri Mkuu Bungeni jana Machi 9, 2025.  

Read More

Twiga Stars yaanza mambo Wafcon 2024

LEO saa 4:00 usiku, timu ya taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars itashuka kwenye Uwanja wa Stade Municipal de Berkane, Morocco, kuivaa Mali katika mchezo wa kwanza wa Kundi C ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2024. Michuano hiyo ilianza rasmi Jumamosi kwa michezo ya kundi A, ambapo mwenyeji…

Read More

SHIMIWI YAPATA UDHAMINI WA VIFAA VYA MICHEZO

Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Michezo ya Wizara, Idara, Wakala za Serikali na Ofisi za Wakuu wa Mikoa (SHIMIWI) wamepata udhamini wa vifaa mbalimbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 5.5 kutoka kwa Mkurugenzi wa Smart Sport Bw. George Wakuganda, ambaye ni mfanyabiashara wa vifaa vya michezo wa jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa…

Read More

SMZ yaeleza hatua inazochukua kudhibiti mfumuko wa bei

Unguja. Wakati Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, ikiomba Baraza la wawakilishi kuidhinisha Sh120.89 bilioni mwaka 2025/26, Serikali imesema inaendelea kuchukua hatua mahususi kudhibiti mfumuko wa bei kwa bidhaa na huduma mbalimbali. Miongoni mwa hatua hizo ni kuendelea kutoa bei elekezi na kusimamia bidhaa zinazoingia nchini zikiwemo za chakula na vifaa vya ujenzi. Hayo…

Read More