Karma ina nafasi kutenguliwa kwa Nape, January

Utenguzi uliofanywa na Rais Samia, kuwatumbuaji mawaziri wake wawili vijana, maarufu kama watoto pendwa, umepokelewa kwa hisia tofauti, wengine wanapongeza na wengine wanaona kama wameonewa. Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, ambayo ni kanuni ya kila binadamu kuhukumiwa kwa mawazo yake, maneno yake na matendo yake, wazungu wanasema, “what goes around, comes around”. Hivyo,…

Read More

Makatta awafungia kazi mastraika | Mwanaspoti

PAMOJA na matokeo ya sare kuiandama Tanzania Prisons, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbwana Makata ameipongeza beki yake kwa kutoruhusu bao lolote, huku akiwafungia kazi mastraika. Maafande hao wameandamwa na mzimu wa sare mfululizo katika michezo minne waliyocheza ikiwa hawajafunga wala kufungwa bao, jambo lililomuamsha Makata kuja kivingine. Timu hiyo inatarajia kuwa uwanjani kuwakabili Namungo,…

Read More

Watu 13 wauawa katika siku ya kwanza ya maandamano Nigeria – DW – 02.08.2024

Mamlaka nchini Nigeria zimethibitisha kuuawa kwa watu wanne kutokana na shambulizi la bomu na kukamatwa kwa mamia ya waandamanaji, hatua iliyochochea marufuku ya kutotoka nje katika majimbo kadhaa. Soma pia:Polisi Nigeria wafyatua gesi ya machozi kutawanya waandamanaji Katika mahojiano, mkurugenzi wa Amnesty International nchini Nigeria, Isa Sanusi, amesema shirika hilo lilithibitisha kwa njia huru mauaji…

Read More

MUHARIRI TORCH MEDIA ANG’ARA TUZO ZA AFYA TMDA

:::::::: Mahariri Mkuu wa Mtandao wa Kijamii wa Torch Media, Caren-Tausi Mbowe ameibuka mshindi wa kwanza katika Tuzo za Uandishi wa Habari za Afya juu ya Udhibiti wa Bidhaa za Tiba zinazotolewa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA). Caren-Tausi ambaye kwa sasa ni Mhariri wa Mtandaoni katika Kampuni ya Sahara Media inayoendesha Televisioni…

Read More

LIGI KUU SPESHO: Rekodi hizi zinasubiriwa kuvunjwa msimu wa 2024\25

REKODI zinawekwa ili zivunjwe, lakini sio kila rekodi zimekuwa zikivunjwa kuna nyingine zimekuwa zikichukua muda mrefu na nyingine zinavunjwa haraka. Mashabiki wa soka wamepata kushuhudia rekodi mbalimbali kwenye Ligi Kuu Bara. Ligi ambayo imekuwa ikitajwa kuwa bora barani Afrika, ikishuhudiwa wachezaji na makocha mahiri kabisa wakipita na kuacha alama. Yanga ina rekodi yake ya kutwaa…

Read More

USHIRIKIANO WA TCB NA RAMANI KUIMARISHA BIASHARA ZA NDANI

**** Benki ya Biashara Tanzania (TCB) kwa kushirikiana na Ramani.io wamezindua rasmi ushirikiano unaolenga kuimarisha biashara za ndani na kuongeza ujumuishaji wa kifedha nchini wakilenga kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya biashara, ikiwemo kuwawezesha wafanyabiashara wadogo na wa kati (SMEs), wajasiriamali, pamoja na biashara ndogondogo. Akizungumza leo jijini Dar es salaam wakati wa kutia hati…

Read More