
Meta kuchunguzwa juu ya usalama wa watoto mtandaoni – DW – 17.05.2024
Uchunguzi huo ni hatua ya hivi karibuni ya kuikagua kampuni mama ya Meta kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Kidijitali, DSA, ya mataifa 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya. Na ikiwa ni htua ya kutekeleza kanuni zilizoanza kutumika mwaka jana kwa lengo la kusafisha mitandao ya kijamii na kuwalinda watumiaji wa mitandao. Mark ZuckerbergPicha:…