
Maji safi saa 24 bado kitendawili, wananchi wapaza sauti
Dar es Salaam. Wakati kiwango cha upatikanaji maji kikitakiwa kuwa saa 24 kwa siku, ripoti ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha kuwa, ni mamlaka za maji nane pekee kati ya 82 ndiyo zimeweza kusimamia kiwango hicho. Mbali na hizo, mamlaka sita za maji nchini za Rombo (Kilimanjaro), Kondoa (Dodoma),…