
Fadlu ashusha mkwra mzito Misri, awataja mastaa
SIMBA mpya inapikwa huko Cairo Misri na juzi umempiga mpinzani mwingine wakati ikitesti mitambo, lakini kocha wa kikosi hicho, Fadlu Davids ametuma salamu kwa wapinzani, huku akishusha mkwara mzito kwa mastaa wa timu hiyo wakati wanamalizia kambi ya mazoezi wakiwa nchini humo. Kocha…