HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YASAINI MIKATABA MIWILI MIZITO YA BIL 9.4 RC MAKONDA AONYA WANAOINGILIA MICHAKATO!
Na Joseph Ngilisho- ARUSHA HALMASHAURI ya jiji la Arusha imesaini MAKUBALIANO na wakandarasi kwa ajili ya utekelezaji wa miradi miwili yenye thamani ya sh,bilioni 9.4 ambayo ni ujenzi wa barabara ya lami ya ESSO hadi Longdong yenye urefu wa Kilometa 1.8 pamoja na ujenzi wa ukumbi wa kisasa wa mikutano . Mikataba hiyo imesainiwa mwishoni…