
WHO yaonesha hofu juu ya ukosefu wa bidhaa za msingi Gaza – DW – 17.05.2024
Shirika hilo limeeleza kuwa operesheni ya kijeshi katika mji wa Rafah unayaweka hatarini maisha ya watu wengi hasa wagonjwa. Msemaji wa WHO Tarik Jasarevic amesema hatua ya Israel kufunga kivuko cha mpaka wa Rafah cha kuingiza msaada ndani ya Gaza kumesababisha kile alichokiita “hali ngumu.” Soma pia: Misaada ya kiutu itaanza kuingia tena Gaza Jasarevic ameeleza…