Samia awataja wakulima akiahidi kongani za viwanda

Mbalizi.  Leo ikiwa ni siku ya nane tangu kuzinduliwa kwa kampeni za uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano Oktoba 29, 2025, mgombea wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameendelea kutoa ahadi kwa wananchi endapo watamchagua. Katika maeneo yote aliyopita, mgombea huyo amekuwa akitoa ahadi zinazolenga kuchochea maendeleo na ustawi wao hasa katika huduma…

Read More

RAIS SAMIA AAGIZA HUDUMA ZA DHARURA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA KIMBUNGA HIDAYA

RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza huduma za dharura zipelekwe kwenye maeneo yaliyopata athari kutokana na kimbunga Hidaya. Hayo yamesemwa leo (Mei 6, 2024) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye kikao cha dharura cha Kamati ya Maafa Kitaifa alichokiitisha kupokea taarifa ya hatua zilizochukuliwa kwenye maeneo yaliyopata athari. “Rais ameelekeza hatua za haraka zichukuliwe katika…

Read More

Mkataba usitishaji vita Gaza unakaribia – DW – 18.12.2024

Taarifa hizo zimetoka kwa vyanzo hivyo vilivyoarifiwa juu ya mazungumzo yanayoendelea mjini Cairo ambayo ripoti zinasema yanapiga hatua kubwa. Vyanzo hivyo vilivyonukuliwa na shirika la habari la Reuters vimesema mkataba wa kusitisha vita uko mbioni kupatikana na utafanikisha pia kuachiwa kwa mateka wa Israel wanaoshikiliwa na kundi la Hamas kwa mabadilishano na wafungwa wa Kipalestina…

Read More

Yanga yakosa mpiga kura Uchaguzi TFF

KLABU ya Yanga imekosa mjumbe atakayepiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa TFF unaofanyika leo jijini Tanga kwenye Hoteli ya Tanga Beach Resort. Akizungumza jijini Tanga, Mwenyekiti Wa Kamati ya Uchaguzi TFF, Wakili Kiomoni Kibamba amesema Yanga imekosa sifa ya kupiga kura kwa sababu haijawakilishwa na Mwenyekiti kama kanuni zinavyoelezea. “Kwa mujibu wa katiba ya TFF…

Read More

Glaciers ya mkoa wa SADC kuamka? Wito wa hatua ya hali ya hewa-maswala ya ulimwengu

Glaciers huko Mlima Kilimanjaro. Wataalam wanaogopa kwamba? Katika miongo michache, barafu hizi zinaweza kutoweka kabisa, zikiyeyuka kwa kasi ya haraka. Mikopo: Shutterstock. Maoni na James Sauramba (Bloemfontein, Afrika Kusini) Ijumaa, Machi 21, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Bloemfontein, Afrika Kusini, Mar 21 (IPS) – Siku ya Maji Ulimwenguni inatuita sote kukuza jambo muhimu la…

Read More

Majeruhi yaongezeka nchini Ukraine huku mashambulizi ya Urusi yakiongezeka, Baraza la Usalama lasikia – Masuala ya Ulimwenguni

Hospitali mbili kuu za kibingwa za watoto na wanawake nchini ziliharibiwa kwa kiasi kikubwa pamoja na miundombinu muhimu ya nishati, ikiripotiwa kuua makumi ya raia, wakiwemo watoto, na zaidi ya 110 kujeruhiwa. Joyce Msuya, Kaimu Mratibu wa Misaada ya Dharura wa Umoja wa Mataifa, aliwaambia mabalozi katika mkutano huo Baraza la Usalama Jumanne, ofisi ya…

Read More

Simba yalia na mashabiki, yafafanua adhabu ya CAF

Wakati ikijiandaa kucheza bila mashabiki katika mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United, Jumapili, Septemba, 29, 2025 na faini ya Dola 50,000 (Sh123 milioni), Simba imekutana na adhabu mpya kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Adhabu hiyo mpya ni ya faini ya Dola 30,000 (Sh74 milioni) kutokana na…

Read More