Uingereza yamwaga bil. 9 kumuunga mkono Samia matumizi nishati

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesema jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika kubeba ajenda ya nishati safi ya kupikia, zimeendelea kuzaa matunda baada ya Serikali ya Uingereza kuthibitisha kuipatia Tanzania dola za Marekani milioni 1.8 (Sh 8.8 bilioni) ili kutimiza malengo ya ajenda hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu ……

Read More

Muundo INEC waendelea kukosolewa na wadau

Dar es Salaam. Ukiwa umepita mwezi mmoja tangu Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ianze kutumika, baadhi ya wadau wameendelea kuikosoa wakisema haijakidhi malalamiko ya wananchi kuhusu uendeshwaji wa uchaguzi nchini. Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na.2 ya 2024 ni miongoni mwa sheria tatu zilizotiwa saini na Rais Samia Suluhu…

Read More

Askari wa Kike wajengewa uwezo wa kiutendaji

Katibu wa Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwanadamizi wa Polisi (SACP) Pili Mande pamoja na timu yake aliyoambatana nayo Mei 17, 2024 amekutana na kuzungumza na askari wa kike ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya kuwajengea uelewa askari hao wa Mkoa wa Kilimanjaro. SACP Mande, tayari amepita Mikoa mbalimbali nchini na kukutana…

Read More

Serikali, viongozi wa dini wajadili kutokomeza uhalifu

Dodoma. Katika kukabiliana na matukio ya uhalifu yanayotokea katika jamii Serikali imefanya kikao maalumu na viongozi wa dini chenye  lengo la kudhibiti matukio ya uhalifu. Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika jijini Dodoma leo Mei 17, 2024 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewaomba viongozi hao wa dini kuendelea kuisaidia na isichoke…

Read More

Tigo Yaja na Apliksesheni ya kisasa ya ‘Super App’

Kadili siku zinavyozidi kusonga ndivyo teknolojia nayo inavyozidi kushika kasi na hapo ndipo Kampuni ya mtandao wa simu ya Tigo ilipoamua kuja kidijitali zaidi kwa kuzindua App ya kisasa kabisa ‘Super App’ ya Tigo Pesa ambayo itawarahisishia maisha watumiaji wa huduma za kampuni hiyo. Akizungumza kwenye uzinduzi huo, Afisa Mkuu wa Tigo Pesa, Angelica Pesha…

Read More

Kuziona Yanga, Ihefu buku kumi tu

WAKATI homa ya mchezo wa nusu fainali ya pili ya Kombe la FA kati ya Yanga dhidi ya Ihefu FC ikizidi kupanda, kiingilio katika mchezo huo imetajwa ni Sh10,000. Mchezo huo unaotazamiwa kuwa na upinzani mkali na kusisimua kutokana na ubora wa timu zote, utapigwa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha na kiingilio…

Read More

DKT. TULIA AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU GENEVA

  Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akimkabidhi Spika wa Algeria Mhe. IBrahim Boughali, zawadi ya ngao yenye kuakisi IPU na asili ya Tanzania katika Ofisi za Makao Makuu ya IPU, Geneva nchini Uswisi leo tarehe 17 Mei, 2024 wakati…

Read More