
Mnigeria afunguka dili la Simba
KIUNGO mkabaji wa Rivers United, Mnigeria Augustine Okejepha ameeleza dili lake la kujiunga na Simba, huku akisisitiza shauku yake kubwa ni kucheza soka la Tanzania licha ya kuwa na ofa kutoka klabu zingine nje ya nchi hiyo. Akizungumza na Mwanaspoti kutoka Nigeria, Okejepha amesema ni kweli wako katika mazungumzo na viongozi wa Simba, lakini bado…