
JUKWAA la Tatu la Utekelezaji wa Ushirikishwaji Watanzania Sekta ya Madini kufanyika Mei jijini arusha
JUKWAA la Tatu la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini litafanyika Mei 22 hadi 24, 2024 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Arusha International Conference Centre (AICC). Jukwaa hilo linafanyika kila mwaka limeandaliwa na Serikali kupitia Tume ya Madini chini ya Wizara ya Madini lina lengo la kukutanisha wadau mbalimbali katika…