
VIKUNDI VYA MALEZI CHANYA 3,963 VYAUNDWA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA MALEZI NCHINI
Na WMJJWM, Songwe Serikali kwa kushirikiana na wadau imeanzisha vikundi 3,963 vya malezi chanya kwa lengo la kutumika kutoa elimu ya malezi chanya kwa jamii katika kukabiliana na changamoto za malezi nchini. Hayo yamebainishwa mkoani Songwe na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Mtoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum…