
Israel yajitetea mbele ya mahakama ya haki ICJ – DW – 17.05.2024
Mnamo mwezi Januari, mahakama hiyo iliiagiza Israel kuhakikisha kwamba wanajeshi wake hawafanyi mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina wakati wa operesheni yake ya kijeshi na pia ilitakiwa iruhusu misaada zaidi kuingia ndani ya Ukanda wa Gaza. Afrika Kusini imeihimiza mahakama ya juu ya Umoja wa Mataifa itoe amri ya kusitishwa kwa operesheni hiyo ya mjini…