
Simba yapiga hesabu kali kwa Waarabu
KIKOSI cha Simba kikiwa kamili gado, kimetua salama huko Algeria, huku benchi la ufundi la timu hiyo pamoja na wachezaji wakiwa na hesabu moja tu dhidi ya Waarabu watakaovaana nao wikiendi hii nchini humo. Simba inatarajiwa kuwa wageni wa CS Constantine inayoongoza msimamo wa Ligi Kuu ya Algeria, katika mechi ya Kundi A ya Kombe…