40 Lucky Sevens ni ushindi tu

  Washindi wapo sehemu moja tu kwasasa ni wale ambao wanacheza mchezo wa kasino wa40 Lucky Sevens ambao umefanikiwa kubadilisha maisha ya wengi, Kwani watuwameshinda mamilioni ya kutosha kupitia mchezo huu. 40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma“Game Art“. Utapenda mchezo huu ikiwemo aina mbili za alama…

Read More

TIC kuvunja rekodi usajili miradi ya uwekezaji nchini.

Kwa kipindi cha mwaka wa fedha Julai 2023 hadi Juni 2024, Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesajili miradi 707 ukilinganisha na miradi 369 iliyosajiliwa kipindi kama hicho mwaka wa fedha 2022|2023. Miradi hiyo ya 2023/2024 ina thamani ya dola za Marekani bilioni 6.561 ukilinganisha na kiasi cha thamani ya dola za Marekani bilioni 5.394 kwa…

Read More

CDF wa Kenya afariki dunia katika ajali ya helkopta

Dar es Salaam. Rais wa Kenya, William Ruto amethibitisha kifo cha Mkuu wa Majeshi ya nchi hiyo (CDF), Jenerali Francis Ogolla aliyefariki dunia katika ajali ya helikopta iliyotokea leo Aprili 18, 2024 eneo la Algeyo katika Kaunti ya Marakwet. Mbali na Jenerali Ogolla, ajali hiyo iliyotokea leo saa 8.20 mchana pia imesababisha vifo vya maofisa…

Read More

Mahakama yabariki Lissu kujitetea kesi ya uhaini

Anadai mazungumzo yao yote yamekuwa yakifanyika kwa kutumia simu kupitia kioo kilichowekwa gerezani, pasipo uwezekano wa kubadilishana nyaraka au kuandika chochote, jambo analodai linakiuka haki zake za msingi. “Hakuna sehemu ya kukaa, hakuna meza, hakuna kiti. Tunazungumza tukiwa tumesimama na kwa njia ya simu, mbele ya maaskari na wengine. Hii sio faragha,” anadai Lissu. Lissu…

Read More

Wamiliki wa mabasi wabuni mkakati kukabili athari za SGR

Dar es Salaam. Wakiwa na wasiwasi juu ya kasi ya kupoteza biashara katika njia ya Dar es Salaam-Morogoro-Dodoma, wamiliki wa mabasi wamebuni mkakati utakaowawezesha kuendelea kubaki kwenye biashara, baada ya kuanza kwa safari za treni ya kisasa (SGR). Tangu kuanza kwa usafiri wa treni ya kisasa miezi miwili iliyopita ikihusisha njia ya  Dar es Salaam…

Read More

Adebayor apiga mkwara Singida | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars, Victorien Adebayor amepiga mkwara mapema kabla ya ngwe ya lala salama ya Ligi Kuu Bara kuanza wikiendi hii, kwa sasa amepata muda mzuri wa kufanya mazoezi na timu, hivyo anarudi na moto. Adebayor aliyesajiliwa dirisha kubwa alianza kutumika katika mechi tatu za Ligi Kuu ikiwamo ile ya kwanza dhidi ya…

Read More

JKT Stars yaitembezea kichapo Vijana Queens

TIMU ya JKT Stars imeifunga Vijana Queens kwa pointi 73-56 katika mchezo wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam uliochezwa kwenye Uwanja wa Donbosco Osterbay na kuacha maswali kwa wapenzi wakiijadili timu hiyo kongwe. Hata hivyo mchezo huo ulitaka uingie dosari kutofanyika  kutokana na wachezaji wa Vijana Queens kuamini hivyo. Picha hiyo ilionekana…

Read More