Fadlu aongea neno zito mastaa wa Simba

KOCHA wa Simba, Fadlu Davids jioni ya leo anajiandaa kuiongoza tena timu hiyo kwa mara ya nane katika mechi za mashindano kwa msimu huu tangu alipolamba ajira kuchukua nafasi ya Abdelhak Benchika, huku akisema jambo muhimu kuhusu mastaa wa timu hiyo. Kocha huyo ameiongoza Simba katika mechi tatu za Ligi Kuu ikishinda zote na kutoruhusu…

Read More

Maafande waingilia dili la Mpepo

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Eliuter Mpepo ambaye aliwahi kufanya vizuri katika Ligi Kuu Zambia akiwa na Trident FC anajiandaa kutua Tabora United kwa mkataba wa mwaka mmoja, lakini pia Tanzania Prisons ikimpigia hesabu. Mpepo ambaye amefunga mabao saba na kutoa asisti tano kwenye Ligi Kuu Zambia, ameonekana kuwa chaguo muhimu kwa timu hizo zinazohitaji…

Read More

Kamati ya Bajeti yaikataa ripoti mradi wa HEET

Unguja. Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi imeikataa ripoti ya utekelezaji mradi wa Elimu ya Juu kwa Mabadiliko ya Kiuchumi (HEET) ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (Suza), ikiagiza iandaliwe upya. Wajumbe wa kamati hiyo pia wameonyesha wasiwasi iwapo chuo hicho kitakamilisha mradi huo kwa wakati, wakieleza umebaki muda mchache wa ukamilishaji wa…

Read More

Wagonjwa 700 kufikiwa na huduma ya mtoto wa jicho Songwe

Mbeya. Ili kukabiliana na tatizo la upofu unaoepukika, Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Helen Keller International inatarajia kuweka kambi ya siku sita mkoani Songwe kwa ajili ya kuwahudumia wenye tatizo la mtoto wa jicho. Huduma hiyo inatarajia kuwafikia wananchi 700 katika maeneo mbalimbali mkoani humo, ikiwa na…

Read More

Beki wa JKT aingia anga za Yanga

UNAIKUMBUKA ile mechi ya kwanza kwa kocha mpya wa Yanga, Hamdi Miloud alipovaana na JKT Tanzania na kulazimisha suluhu kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo? Katika mechi ile kuna mabeki wawili walichezea sifa kwa kuwazuia kabisa nyota wa Yanga, akiwamo Clement Mzize, Prince Dube na Stephane Aziz KI kuendeleza moto wa kugawa dozi kwa wapinzani….

Read More

WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, GIZ WAWAKUTANISHA WATAALAMU WA JINSIA KUPITIA MWONGOZO WA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SERIKALI ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Katiba na Sheria wamewakutanisha kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Ujerumani GIZ wamewakutanisha wataalamu mbalimbali wa masuala ya jinsia kwa lengo la kupitia mwongozo wakufundishia wasaidizi wa kisheria ili kuwasaidia kukabiliana na changamoto za ukatili wa kijinsia. Akizungumza leo…

Read More