
TTCL YAUNGANISHA ZAIDI YA WILAYA 92 KATIKA MKONGO WA TAIFA.
Na Mwandishi Wetu Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb), leo Mei 16, 2024 ametembelea Banda la Maonesho la Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL wakati Shirika hilo liliposhiriki maonesho ya Taasisi, Kampuni na Mashirika yaliyo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari katika Viwanja vya…