
WAJASIRIAMALI 400 KUKUTANA UDSM KUCHOCHEA UCHUMI JUMUISHI
:::::::: Na Mwandishi wetu Dar es dsalaam Wajasiriamali wapatao 400 kutoka sehemu mbalimbali nchini wanatarajiwa kushiriki katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wajasiriamali wa Biashara Ndogo na za Kati, yatakayofanyika Juni 27, mwaka huu, katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), yakiwa na lengo la kuongeza mchango wa sekta hiyo katika kukuza uchumi…