
ACT-Wazalendo, CUF vyasusia uchaguzi Kwahani
Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kimetangaza kususia uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Kwahani mjini Unguja utakaofanyika Juni 8, 2024. Sababu za kususia uchaguzi huo imetajwa ni mwendelezo wa chama hicho kikuu cha upinzani Zanzibar, kushinikiza watendaji waliopo kujiuzulu ili kupata makamishna wapya na sekretarieti mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi. Kwa nyakati tofauti…