WANANCHI WA KATA YA LITUMBANDYOSI MBINGA WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA KITUO CHA AFYA

 Baadhi ya majengo ya kutolea huduma za afya katika kituo cha afya Litumbandyosi kata ya Litumbandyosi Halmashauri ya wilaya Mbinga mkoani Ruvuma ambayo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Sh.milioni 500 kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri hiyo. Afisa Muuguzi wa kituo cha afya Litumbandyosi Halmashauri ya wilaya Mbinga mkoani Ruvuma Songela Songela kulia,akimuonyesha Mganga Mkuu…

Read More

WANAHARAKATI WAIPONGEZA SERIKALI KWA MAFANIKIO DIRA YA TAIFA 2025

WANAHARAKATI wa masuala ya Jinsia na Maendeleo wameipongeza Serikali kwa uwajibikaji mkubwa kwenye Dira ya taifa ya miaka 25 iliyopita katika nyanja ya elimu ,afya pamoja na sekta ya habari na mawasiliano. Pongezi hizo zimetolewa leo Julai 10,2024 Mabibo -Jijini Dar es salaam,kwenye semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) zinazofanyika kila jumatano TGNP-Mtandao, Akizungumza wakati…

Read More

Aziz Ki kamuacha mbali Fei Toto

Achana na vita ya ufungaji bora iliyopo baina ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam FC na Stephane Aziz Ki wa Yanga, lakini kiungo huyo wa Yanga amejijengea ufalme wake kwenye tuzo za mchezaji bora wa mwezi. Viungo hao wawili wapo kwenye vita kali ya kuwania tuzo ya mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara, huku…

Read More

Nafuu kwa bajaj, magari yanayotumia gesi Dar

Dar es Salaam. Huenda sasa kilio cha foleni kwa wanaotumia vyombo vya moto vya gesi kikapungua kutokana na ongezeko la vituo vya kujazia gesi, wachambuzi wanasema manufaa si tu kwa kundi hilo. Matumizi ya gesi asilia kwenye magari kawaida huokoa gharama kwa zaidi ya asilimia 50 ikilinganishwa na dizeli na petroli. Kwanza, gesi huuzwa bei…

Read More

TRA Kigoma yakiri mtumishi wake kudakwa na meno ya tembo

Kigoma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma, limethibitisha kuwa linamshikilia Arving Bagisheki (39) akidaiwa kukutwa na meno mawili ya tembo ndani ya gari. Taarifa za kukamatwa kwa Bagisheki zilianza kusambaa jana kwenye mitandao ya kijamii zikitaja kuwa ni mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoani Kigoma. Mwananchi imezungumza na Meneja wa TRA Mkoa wa…

Read More

Mbinu kukabiliana na machungu ya kuachwa

Kuachwa na mwenza ni moja ya mambo yenye uchungu mkubwa katika maisha ya binadamu. Inaweza kuvunja moyo, kuharibu mtazamo wa maisha, na kusababisha hali ya kutojiamini, huzuni na hata msongo wa mawazo. Watu wengi hujikuta katika hali ya kukata tamaa, kujitenga na jamii au hata kupoteza mwelekeo wa maisha. Hali hii huathiri si tu hisia…

Read More

Mashujaa yamnasa kiungo wa Kagera

MASHUJAA imefanikiwa kunasa saini ya kiungo wa Kagera Sugar, Samwel Onditi kwa kumpa mkataba wa miaka miwili, mabosi wa klabu hiyo wamethibisha. Onditi aliyekuwa mmoja ya mastaa walioshuka daraja na timu hiyo kutokana na kumaliza nafasi ya 15 katika msimamo wa timu 16 sambamba na KenGold. Kabla ya kuitumikia Kagera, Onditi amewahi kukipiga pia timu…

Read More