
SAUDI ARABIA YATANGAZA NIA YA KUANDAA KOMBE LA DUNIA 2034 – MWANAHARAKATI MZALENDO
Kufuatia maandalizi ya Kombe la Dunia 2034, nchi mbalimbali zimekuwa zikituma maombi ya kugombea kuhodhi mashindano hayo, makubwa zaidi duniani katika mchezo wa mpira wa miguu. Siku ya Jumatatu, Saudi Arabia iliwasilisha rasmi nia yake ya kuandaa Kombe la Dunia la 2034 mjini Paris, katika hafla iliyoandaliwa na FIFA. Ujumbe wa Saudia uliongozwa na Mwanamfalme…