Mikataba hewa, marejesho yawatesa bodaboda
Mbeya. Waendesha pikipiki ‘bodaboda’ jijini Mbeya wamesema ili kupunguza wimbi la ajali za mara kwa mara barabarani ni kuwapo mikataba rasmi na mikopo isiyoumiza. Wamesema chanzo cha wao kutajwa kuwa chanzo cha ajali za barabarani ni kuwahi abiria ili kukusanya marejesho ya waajiri wao na kukamilisha mikopo waliyonayo. Wakizungumza katika hafla fupi ya maadhimisho ya…