
Mikoa sita vinara wizi wa mtandaoni hii hapa
Dodoma. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, ametaja mikoa sita yenye matukio mengi ya wizi wa kimtandao. Nape ameitaja mikoa hiyo bungeni leo Mei 16, 2024 alipowasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2024/25. Ameliomba Bunge kuidhinisha Sh180.92 bilioni. Nape amesema Serikali kupitia Mamlaka ya…