
Bashungwa aongoza Harambee Jimbo Katoliki Bunda,Mil 270 zakusanywa
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameshiriki Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo na kuongoza harambee ya kumalizia ujenzi wa jengo la ofisi za Jimbo Katoliki la Bunda ambapo jumla ya Shilingi Milioni 272.6 imekusanywa. Harambee hiyo imefanyika leo Novemba 10, 2024 Wilayani Bunda Mkoani Mara ambapo pamoja na mambo mengine, Waziri Bashungwa amezindua ofisi…