Fadlu: Nashusha vyuma hivi Simba dirisha dogo

SIMBA inacheza leo dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Lakini hesabu za kocha wa timu hiyo, Fadlu Davids ziko kwenye dirisha dogo. Ameweka wazi kwamba Desemba lazima asajili wachezaji wapya watatu ambapo mmoja tayari wameshamalizana nae na yupo Dar es Salaam. Simba inapiga hesabu nzito kuongeza nguvu eneo la beki wa kati…

Read More

Musonda kumpisha Dube Yanga | Mwanaspoti

WAKATI Yanga ikiwa kwenye mchakato wa kusaka mbadala wa Joyce Lomalisa ambaye anatajwa kuachwa mwisho wa msimu huu, imebainika kuwa mshambuliaji Keneddy Musonda pia anampisha mtu. Musonda anamaliza msimu wake wa pili mwishoni mwa msimu huu na hakuna mazungumzo yoyote baina yake na uongozi kwa ajili ya mkataba mpya na inatajwa kuwa atampisha Prince Dube…

Read More

Uswisi wafuzu baada ya kutoka sare na Ujerumani – DW – 24.06.2024

24.06.202424 Juni 2024 Katika mechi za Kombe la EURO 2024, jana usiku Ujerumani ambao wameshafuzu hatua ya mtoano, walilazimishwa sare ya 1-1 na Uswisi ambao pia matokeo hayo yamewawezesha kusonga mbele. https://p.dw.com/p/4hPoM Mchezaji wa Ujerumani Jamal Musiala (kushoto) akijaribu kudhibiti mpira na kumzuia mchezaji wa Uswisi Remo Freuler wakati wa mechi yao mjini Frankfurt: 23.06.2024Picha:…

Read More

Ngo’s zatakiwa kufanya kazi Kwa kuzingatia maadili.

Mwenyekiti wa Bodi ya Mashirika yasiyo ya kiserikali Taifa Bi. Mwantumu Mahiza amezitaka taasisi zisizo za Kiserikali (NGOs) Mkoani Morogoro kufanya kazi zao kwa uwazi, ukweli na kujituma zaidi kwa kujua kuwa wanafanya kazi pamoja na serikali katika maeneo yao na kwa kushirikiana na madiwani, wenyeviti wa vitongoji na vijiji. Mahiza ameyasema hayo Mkoani Morogoro…

Read More

Rais Samia: Watendaji wa ardhi badilikeni, mnalalamikiwa na wananchi

Dar/Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa ardhi nchini kubadilika kwa sababu wananchi wanawalalamikia  kwa rushwa, kujilimbikizia viwanja na kugawa kiwanja kimoja kwa watu wawili. Mbali na hilo, amewataka watumishi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), kubadilika kwa kutokuwa mvinyo uleule kwenye chupa mpya. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumatatu…

Read More

RC Serukamba ataka kodi isikusanywe kibabe

Iringa. Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba amesema kodi haiwezi kukusanywa kwa ubabe, akiwataka maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani humo kutumia lugha nzuri. Amesema ikiwa mteja ana deni na wanataka kuifunga akaunti yake, ni vizuri wafuate utaratibu ikiwamo kuzungumza naye ili atakapokaidi ndipo wachukue hatua zinazofuata. Serukammba amesema hayo leo Mei…

Read More