
Atakayepiga ‘hole in one’ kuondoka na ndinga NMB CDF Trophy
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Mashindano ya gofu ya Kombe la Mkuu wa Majeshi ‘NMB CDF Trophy’ yanatarajiwa kufanyika Oktoba 4-6,2024, huku mchezaji atakayefanikiwa kupiga ‘hole in one’ atapewa zawadi ya gari aina ya Toyota Harrier yenye thamani ya sh milioni 70 na kwenda kupumzika hoteli ya Serena . Gari hiyo imekabidhiwa leo Septemba 27,2024…