TANZANIA NA UFARANSA KUIMARISHA DIPLOMASIA YA UCHUMI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Biashara, Uchumi, Nchi zinazozungumza Kifaransa na Wafaransa waishio nje ya nchi, Mhe. Frank Reister katika ofisi za Wizara jijini Paris, Ufaransa tarehe 15 Mei, 2024. Mawaziri hao wamejadili kuhusu namna bora ya kuimarisha ushirikiano kwenye masuala…

Read More

HATIFUNGANI YA KIJANI YA MAMLAKA YA MAJI TANGA YAFANIKIWA KUKUSANYA 103% YA MAUZO YALIYOTARAJIWA.

Hatifungani ya kijani ya Mamlaka ya Maji Tanga ambayo ni ya Kwanza kuwahi kutokea Afrika Mashariki imefanikiwa kukusanya asilimia 103% ya mauzo yaliyotarajiwa. Hatifungani hiyo yenye thamani ya shilingi Bilioni 53.12 ilianza kuuzwa tarehe 22, Februari 2024 na kufanikiwa kuorodheshwa kwenye soko la hisa Dar es salaam (DSE) leo tarehe 15 Mei,2024 Hatifungani hiyo yenye…

Read More

Chilambo atulizwa Azam FC | Mwanaspoti

UONGOZI wa Azam FC, umemuongeza mkataba beki wa kulia, Nathaniel Chilambo ambaye ataendelea kubaki katika viunga vya Azam Complex hadi 2026. Chilambo alijiunga na Azam FC, Julai 6, 2022 akitokea Ruvu Shooting ambayo sasa inashiriki Championship baada ya kushuka Ligi Kuu Bara. Kwa mujibu wa mtandao wa kijamii ‘Instagram’ wa timu hiyo umethibitisha kumuongeza mkataba…

Read More

Katekista ajiua kwa kunywa sumu baada ya mawazo yaliyotokana na mfadhili wake kufariki

Anthony Mgaya (50) aliyekuwa Katekista wa Kigango cha Moronga kata ya Kipengere wilayani Wanging’ombe amefariki dunia akidaiwa kunywa sumu kutokana na msongo wa mawazo wa muda mrefu uliotokana na kifo cha mfadhili wake ambaye alikuwa wilayani humo aliyefariki takribani miaka miwili iliyopita. Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo…

Read More

BAISKELI YA MAMA IMEFIKA SAME

Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao (MOM) imeendelea kupokea maombi mengi kutoka kila pande ya Tanzania kutoka kwa ndugu zetu wenye uhitaji wa Baiskeli hizi. Kama Taasisi, tunapenda kutoa shukran zetu za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wasanii na Wadau mbalimbali wapenda maendeleo kwa kuhakikisha kwamba Taasisi inatimiza kile tulichoagizwa na…

Read More

Mwakatundu akamatwa akiwa na Milioni 29,374,000 ‘Guest’

Say Raymond Mwakatundu (31) mkazi wa jijini Dar es Salaam amekamatwa na Polisi mkoani Njombe akiwa na fedha kiasi cha Milioni 29,374,000 katika nyumba ya kulala wageni (Guest) mjini Makambako fedha ambayo inadaiwa ameipata kwa njia ya wizi. Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amesema walimkamata Mwakatundu wakiwa wanafanya upekuzi wa kawaida katika…

Read More