
Najim, mkewe wafikisha siku 320 gerezani bila upelelezi kukamilika
Dar es Salaam. Mshitakiwa wa kwanza katika kesi ya kusafirisha kilo 3,050 za dawa za kulevya, Najim Mohamed (52) na mkewe Maryam Najim (50) pamoja na mfanyakazi wa ndani wa kiume, Juma Abbas (37), wamefikisha siku 320, wakiwa gerezani bila upelelezi wa kesi hiyo kukamilika. Washitakiwa hao wanaendelea kusota rumande kutokana na mashitaka yanayowakabili ya…