
Urusi yaendeleza mashambulizi zaidi kwa Ukraine – DW – 15.05.2024
Mamlaka nchini Ukraine zimesema watu 17 wamejeruhiwa katika shambulizi la anga la Urusi katika miji ya kusini mwa Ukraine ya Mykolaiv na Kherson huku shambulizi lingine la anga likiwaua watu wawili katika mji wa Dnipro. Wakati vita hivyo vikizidi kuchukua mkondo mpya Rais Volodymyr Zelenskiy wa Ukraine ameahirisha safari zake zote…