DKT.BITEKO:RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUIFUNGUA KIGOMA

*Barabara ya Kakonko hadi Mpaka wa Burundi Kujengwa kwa Lami  *Atembelea Hospitali ya Wilaya Kakonko *Ahimiza Wananchi Kuendelea Kufanyakazi kwa Bidii  *Kakonko Yazalisha Chakula Ziada Tani 81,000 Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Biteko amesema Serikali inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia…

Read More

Karibuni katika banda la Wizara ya Afya katika Maonyesho ya Nane Nane 2024 yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Nane nane hapa Nzunguni Dodoma.

  Katika Banda la Wizara ya Afya huduma mbalimbali zinatolewa kuanzia Elimu ya Afya, Huduma za Uchunguzi wa Magonjwa, Chanjo dhidi ya Homa ya ini, Uviko 19, pamoja na Chanjo dhidi ya Saratani ya Mlango wa Shingo ya Kizazi kwa wanawake Katika dawati letu la elimu na uhamasishaji tuna wataalam wa masuala ya Afya ya…

Read More

Dodoma Jiji yashtukia janja ya Azam FC

BAADA ya Azam FC kumpigia hesabu za kumrejesha aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa kikosi hicho, Idd Kipagwile, mabosi wa Dodoma Jiji wameshtukia dili hilo mapema na kuamua kumwongezea mkataba wa miaka miwili baada ya huu wa sasa kumalizika. Nyota huyo wa zamani wa Polisi Tanzania, KMC FC na Namungo FC, ameonyesha kiwango kizuri msimu huu na…

Read More

Serikali itaendelea kushirikiana na Red Cross

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akiwapokea vijana 10 walioendesha baiskeli kutoka Moshi, Kilimanjaro hadi Dodoma ikiwa ni moja ya njia za kukitangaza Chama cha…

Read More

Chonde wanandoa msivunje ndoa zenu kirahisi

Dar es Salaam. Hakuna adui na tatizo kwenye ndoa kama vile kutojiamini, kuamini wengine kama vile vigagula na wachunaji waitwao waombaji na ushirikina. Baadhi ya wanandoa wamevunja ndoa hasa kina mama kutokana na ujinga na uzwazwa huu. Hii ni kutokana na mfumo dume ambao humhukumu mwanamke linapokuja suala la kuwajibika katika ndoa. Leo kutokana na…

Read More