
Vodacom kurejesha vifurushi kwa walioshindwa kuvitumia
Dar es Salaam. Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC imeutangazia umma na wateja wake kurejesha huduma za kimtandao kikamilifu, ikieleza walioshindwa kutumia huduma ya intaneti watarejeshewa vifurushi vyao. Kwa muda wa siku nne mfululizo nchini watumiaji wa huduma za mtandao walipata changamoto kutokana na kupungua ubora wa intaneti kulikosababishwa na kukatika nyaya za mkongo …