
DHL kufikia utoaji sifuri wa kaboni ifikapo 2050
DHL Express, ambayo ndiyo kampuni kubwa zaidi ya usafirishaji duniani, imeelezea kujitolea kwake kufikia utoaji wa kaboni sifuri ifikapo mwaka 2050 katika jitihada zake za kufanya kazi katika mazingira yaliyo safi zaidi. Akizungumza wakati wa kifungua kinywa kwenye meza ya mazungumzo ya maofisa watendaji wakuu yaliyoandaliwa na DHL, Mkurugenzi wa Kanda wa Nchi za…