
Lissu, Mnyika wasimulia walivyochezea kipigo
Dar es Salaam. Viongozi wakuu wa Chadema, Tundu Lissu na John Mnyika, wamesimulia namna walivyokumbana na vipigo na kusafirishwa hadi maeneo tofauti kutoka jijini Mbeya kabla ya kufikishwa Dar es Salaam na kuachiwa huru na polisi. Mwingine aliyekumbwa na kadhia hiyo ni Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, maarufu Sugu, ambaye ndiye aliyekuwa wa…