
NIFFER AFUNGULIWA KESI YA BIL.2 MAHAKAMA KUU, KISA KASHFA MTANDAONI
MFANYABIASHARA maarufu wa chakula na vipodozi jijini Mbeya, Mariam Enzi amefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu ya Mbeya dhidi ya mfanyabiashara, Jenifer Jovin Bilikwija maarufu kama ‘Niffer’ akimdai fidia ya zaidi ya Shilingi Bilioni mbili kwa madai ya kashfa na usumbufu wa kibiashara. Kesi hiyo ya madai ni namba 50578 ya mwaka 2025, imepangwa…