Wanawake wa Kilombero Sugar Wakutana Kusherehekea Siku ya Wanawake 2026

Global Publishers March 11, 2026 0 Comments Wafanyakazi wanawake kutoka Kampuni ya Sukari Kilombero walikusanyika kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 chini ya kauli mbiu “Give to Gain”. Tukio hilo lilijumuisha tafakuri kuhusu uwezeshaji wa wanawake, kushirikishana maarifa na uzoefu, pamoja na kutambua wafanyakazi waliotumikia kampuni kwa muda mrefu. Hafla hiyo iliheshimiwa na uwepo…

Read More

Mavunde kuanzisha klabu za wazee jimboni Mtumba

Dodoma. Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtumba (CCM),  Anthony Mavunde amejifunga katika mambo 10 akihutubia wananchi katika Kata ya Nghong’ona huku akielekeza nguvu kuanzisha klabu za wazee. Katika mkutano huo, Mavunde amesema ni wakati sasa kuwakumbuka wazee na kuwaanzishia klabu zao ili tuwaweke pamoja na kusikiliza matatizo na changamoto zinazowakabili. “Jimbo lilikuwa na Kata 41,…

Read More

Simba yapanda nafasi ya pili ikiichapa TRA United

Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambapo timu hiyo sasa imesogea hadi nafasi ya pili katika msimamo wa ligi ikifikisha pointi 31 ikiishusha Azam FC ambayo ina pointi 29 katika nafasi ya tatu. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Dimba la Major General Isamuhyo, Mbweni, Dar es…

Read More

Usingizi; kinga ya afya ya akili, kimwili

Dar es Salaam. Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Usingizi leo Ijumaa, Machi 13, 2026, tafiti mbalimbali za afya zimebainisha umuhimu wa usingizi bora kwa afya ya mwili na akili. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali na dondoo za afya, usingizi ni sehemu muhimu ya maisha ya binadamu kama ilivyo lishe bora na mazoezi ya mwili. Usingizi…

Read More

Biashara ya mkaa yapaa, kuni ikiporomoka

Dar es Salaam. Katika kipindi cha miaka mitatu mfululizo, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeripoti kuwapo kwa ongezeko la fedha zinazotumika kununua mkaa kwa zaidi ya mara mbili. Katika ripoti tofauti za uchumi wa Kanda za BoT, zinaonesha mauzo ya mkaa yaliongezeka kutoka Sh3.5 bilioni katika mwaka ulioishia Machi 2023, hadi Sh7.6 bilioni katika mwaka…

Read More