
RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA UFARANSA MHE. EMMANUEL MACRON KATIKA IKULU YA PARIS NCHINI UFARANSA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Paris nchini Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyeji wake Rais…