
Serikali yasisitiza Umoja na Amani kwa kufuata Sera za Rais Samia
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Serikali imeeleza kuwa umoja na amani nchini Tanzania vitaendelea kuimarika ikiwa vyama vyote vya siasa vitafuata falsafa ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan inayolenga maridhiano, ustahimilivu, mabadiliko, na ujenzi upya wa taifa. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi, wakati wa…