
Kuna mkwamo kwenye mazungumzo ya usitishaji vita Gaza – DW – 14.05.2024
Akizungumza kwenye mkutano wa Kiuchumi huko Doha Qatar leo, mwanadiplomasia huyo mkuu wa Qatar, Mohammed bin Abdulrahman amesema kumekuwa na “tofauti ya kimsingi” kati ya pande mbili husika kwenye machafuko hayo. Ameeleza kuwa upande mmoja unataka kumaliza vita kabla ya kuwaachilia mateka wote waliobaki, ilhali upande mwingine unataka mateka waachiliwe huru huku vita vikiendelea. Kulingana…