
Hivi ndivyo bima ya afya kwa wote itakavyokuwa
Dar es Salaam. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umetoa ufafanuzi kuhusu mwelekeo wa mpango wa bima ya afya kwa wote, ukibainisha kuwa gharama kwa kaya moja yenye watu sita itakuwa Sh150,000 kwa mwaka, sawa na Sh25,000 kwa kila mwanakaya. Kifurushi hicho chenye jumla ya huduma 277, kitamuwezesha kiongozi wa kaya kulipa kwa…