
RUWASA YAFANIKISHA HUDUMA YA MAJI SAFI NA SALAMA VIJIJI 10,000 KATI YA 12,000 TANGU ILIPOANZISHWA MWAKA 2019
Na Mwandishi Wetu,Songea ZAIDI ya vijiji 10,000 sawa na asilimia 79.8 kati ya vijiji 12,333 vimepata maji safi na salama huku huduma ya maji ikiongezeka kutoka asilimia 50 mwaka 2019 hadi kufikia asilimia 79.9 mwaka 2024 tangu Serikali ilipoanzisha wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa)mwaka 2019. Hayo yamesemwa jana na Naibu Waziri wa…