
MIUNDOMBINU YA BARABARA INAYOJENGWA NI KWAAJILI YA KUWASAIDIA WANANCHI – MHE KATIMBA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema Serikali imekuwa ikijenga miundombinu mbali mbali kama vile Barabara kwa lengo la kuwasaidia Wananchi hivyo Serikali haitasita kuchua hatua kwa anayekwamisha jitihada hizo. Mhe. Katimba amesema hayo leo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha…