
BEI YA MAFUTA YA DIZELI NA PETROLI YASHUKA MWEZI SEPTEMBA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta ya petroli na dizeli, kwa mwezi wa Septemba 2024. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Septemba 04, 2024 na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Dkt. James Mwainyekule bei za mafuta zimepungua kutokana na kushuka kwa bei za mafuta ghafi katika…