
IDADI YA WANAWAKE WANAOENDA KUPATA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO YAONGEZEKA
KWA kipindi cha mwaka 2023-2024 idadi ya wanawake wanaoenda kuhudhuriaa klinic kwa ajili ya kupata huduma za njia za uzazi wa mpango wa muda mrefu imeongezeka kutoka 6500 hapo mwanzo hadi kufikia wanawake 18750 hii ikiwa ni matunda ya mradi wa kuimarisha vituo vya umma unaotokelezwa na shirikia la Mariestopes ambao umewezesha mafunzo kwa watoa…